Tuesday, October 1, 2019

Maendeleo chanya

Chuo kikuu cha Dar es salaam kinaboresha muonekano wake mpya wa kimandhari na kimakazi kwa wanazuoni wapatao ujuzi katika chuo hicho kwa kuboresha Hostel za Hall V na II ili kupunguza Hadha ya wanafunzi kukosa makazi.
Pia ujenzi wa fensi katika kudhibiti uwizi na uvamizi wa watu wasio wanazuoni katika viunga vya chuo hicho.
Pongezi kwa mkuu wa chuo na uongozi wake Prof. Willium Anangisye.